Nature has its own rules and judges of the jungle!WhatsApp +255 757 757 968 to visit Tanzania 🇹🇿

Relaxation Natural
19 followers
#africa #viralvideo #farming
Umejifunza nini kutoka katika Asili Leo ?
Kama hutumii ASILI kujifunza basi unakosa masomo mengi sana kwani hata wabunifu wote wazuri hutumia ndege, wanyama, mimea n.k ili kufanya ubunifu wao.
Mara kadhaa rangi za nguo ni matokeo ya ubunifu wa kusoma rangi za ndege/wanyama au mimea.
Wagunduzi wa vifaa na teknolojia mbalimbali waliisoma kwanza asili! Wakatengeneza ndege ipaayo kwa kutumia ndege apumuaye! Meli ilitengenezwa kwa kumsoma samaki n.k.
Unadhani ni kwa nini wavumbuzi sasa wanatumia kila gharama kwenda mwezini na hata kwenye sayari ya Mars?
Itaendelea..............Ushuhuda Wangu
Aje Farmer
Daktari Mkulima
Chuo Kikuu Cha Mtaani-Kitivo Cha Misukosuko
Aje-Farms Mashamba Yanayotembea with Mdede Kuku Kienyeji
